Baada ya matokeo ya pepa kutoka:
Baba Johnny: Johnny naskia results zimetoka?
Johnny: Daddy unakumbuka Patrick, yule alikuwa wa kwanza last year shule?? amefeli.
Baba Johnny: Wah!!! what happend?
Johnny: Unakumbuka Shiro pia? yule alikuwa ananifundisha maths?? amefeli pia
Baba Johnny: Ghai??? whats with her poor perfomance?
Johnny: Walai ata cjui..unakumbuka pia Chebet?? yule alikuwa anashinda science contest zote?? amefeli pia??
Baba Johnny: kweli?? Na yako ilikuaje?
Johnny: Unakumbuka hadi Headboy wetu?? amefeli pia
Baba Johnny: (akiwa amekasirika) Johnny!!! na wewe umepata nini??
Johnny: baba wewe nawe, kama hao wote wamefail sasa unaexpect nini???
DU HIYO KALIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
ReplyDelete