Bagamoyo. Ni mnyama hatari, mwenye sumu kali, anaogopwa, anaua, anaweza hata kukuachia ulemavu.
Hata hivyo Nobert Joseph Chenga, ameweza kucheza na kuishi na nyoka kwa miaka 34 sasa.
Siku hii, namkuta Chenga, maeneo ya Bagamoyo, akiwa katika moja ya kazi zake za kusaka na kufuga nyoka.
Alikuwa mchovu kwa sababu ya shughuli nzito ya kukamata nyoka kutoka mapori ya Miono, wilayani Bagamoyo.
Nilishuhudia nyoka wa aina mbalimbali wenye sumu wakiletwa katika mifuko maalumu.
mtaalam mwenyewe ameshika fimbo maalumu ya kuwasogeza au kukamata nyoka.
Wanapofika, mtaalam mkoba kwa ustadi kisha kuwaweka katika chumba, akitumia fimbo hiyo kuwasogeza mahali panapohitajika kukaa.
Wakati mwingine anawashika, kwa mikono lakini kwa namna ambayo nyoka hao hawawezi kuuma. Anawapanga katika vyumba alivyovipa majina kwa mfano; Black Mamba, Boom Slag. Green Mamba, Cobra, Msanga na African Venom.
Nyoka mmoja mweusi, niliyeambiwa anaitwa Black Mamba, akiwa na urefu wa zaidi ya futi tano, anaponyoka mikononi mwa , tukio mtaalam nitimue mbio. Si mimi tu niliyetimua mbio, bali hata wasaidizi wa Chenga waliokuwa eneo hilo walikimbia. Hii ni kutokana na mtaalam kuwa nyoka huyo akikuuma, huchukui dakika tano, kabla ya kubadili jina na kuitwa marehemu.
Ananionyesha alama kadhaa za kuumwa na nyoka, mikononi na miguuni mwake. Lakini bado anaishi nao, anawafuga na anaendelea kuwakamata ili wawe wengi zaidi.
Mapenzi na nyoka yalianza 19
No comments:
Post a Comment