Hugo Rafael Chávez Frías alizaliwa tarehe 28/7/1954 alikuwa rais wa venezuera tangu 1999 hadi alipo fariki 2013 alikuwa kiongozi wa zamani wa fifth republic movement politicpal party tangu 1997 hadi 2007, alipokuwa kiongozi wa United Socialist Party of Venezuela (PSUV).ikifuata itikadi ya of Bolivarianism and "socialism of the 21st century"
No comments:
Post a Comment