AHAZI

AHAZI

Saturday, March 2, 2013

cheka basi

Jamaa mmoja alifumaniwa na mke wa mtu ila akafanikiwa kukimbia huku akiwa uchi mpaka standi ya mabasi alichofanya ni kupanda kwenye basi moja kwa moja cha kushangaza kondakta alikuwa anacheka sana yule jamaa akamuuliza konda unacheka nini? konda akajibu najiuliza nauli yangu utakuwa umeiweka wapi teheeeee

1 comment: