Mama kajifungua mtoto, kabla hajapewa mwanae wakiwa bado wako leba dokta akaanza kuongea;
Dokta: Mungu mkubwa!
Mama akacheka kwa furaha halafu akauliza: Kwa nini dokta?
Dokta: Umezaa jembe!
Mama akazimia! Alidhani amezaa jembe la kulimia kumbe dokta alikuwa anamaanisha amejifungua mtoto wa kiume.
No comments:
Post a Comment