AHAZI

AHAZI

Thursday, March 14, 2013

SIKU YA KUGRADUATE NOMA KWELI

Ulikuwa siku ya furaha kumaliza shule, mgeni rasmi alikuwa waziri.
Sasa ukafika Wakati wa kuimba kwaya,
Wimbo ulikuwa Kama ifuatavyo
Muongoza kwaya:Wanawake munapenda nini?
Waitikiaji; sisi tunapenda MBooooooooo. Mbooooooooooo......ga za majaniiiiiiiii ili tujenge mwili
Muongoza kwaya: wanaume munapenda nini sisi tunapenda KUMAaaaaaaaaaaah,kumaaaaaaa... lizashuleeee tujenge taifa..
Muheshimiwa nu sura achape lapa...maana alikuwa amefumba macho badala ya kuziba masikio.

No comments:

Post a Comment