KIFO NOMAAAAAAAAAAAAAAAA
Kifo Noma! Majambazi walivamia kanisani na wakasema wanawaua wauminiwote, na wataanza kuua kwa kufuata alfabeti. Wakamuulizamchungaji unaiitwa nani? Mchungaji akajibu, Zosef Zabrahamu, wa pili Zobadia Zamweli, wa 3 Zanna Zadam, wa 4 Zesta Zelia.......... ... Chezea kifo wewe?
No comments:
Post a Comment