AHAZI

AHAZI

Thursday, March 14, 2013

HUU NSI UFARA KABISA

Jamaa 3 walipanga hotel mjini yenye gorofa 90 na hao jamaa walichukua rom1 iko flo ya 90 ili waenjoy zaid kuchek mj kw maref na mapana kw kua wao ni bush man wali2mia lift kupanda nawakashuka kw lift wakaenda zao misere jion waliporud hotel kw bahati mbya umeme ukawa umekatika na janereta bovu pia vidume wakashauriana safari ya kupanda ju kw ngaz ili wakalale ikiwa wamechanganyikiwa safari ya ku2mia ngazi had ju safari kabla haijaanza jamaa1 akawambia wenzake sasa kw kua hi safari ndef had 2fike inatakiwa 2anzishe story njiani hd 2fike 2ko m2 3 inatakiwa 2pige story aina3 story ya kwnza iwe ya kutisha na ya pili iwe ya kuchekesha na ya3 iwe ya kuhuzunisha wakakubaliana safar ikanza pipo ya kwnza ikanzisha story ya kutisha hd flo ya 30 pipo ya pili ikagonga story ya kuchekesha hd flo ya 60 pipo y3 inamalizia ikanzisha stry ya kuhuzunisha walipofika flo ya 89 akawastopisha wenzake akawambia sasa nisikilizeni kw makini hi story ya mwisho ili 2fike ndo ya kuhuzunisha kbsa 2mesahau ufunguo chin reception.

No comments:

Post a Comment