AHAZI

AHAZI

Thursday, March 14, 2013

nyani huyu


NYANI mmoja alichoka kuishi. akatafuta njia ya kujiua akashindwa, basi akaamua kumtafuta simba ili aliwe. afe, basi alienda sehemu akamkuta Simba amelala. akamtia kidole nyuma mpaka Simba aka amka, basi mazungumzo yao yakawa kama hivi;
SIMBA: nani huyo tena !?, NYANI: mie nyani,
SIMBA:je kuna yeyote alieona?
NYANI: hapana, SIMBA:basi naomba rudia tena,maana hii raha sijawahi kuipata tangu nizaliwe,

No comments:

Post a Comment