AHAZI

AHAZI

Friday, December 30, 2016

Cheka na ww



aPosted via Blogaway

Nimecheka sana cheka na ww pia



aPosted via Blogaway

Rip jenipher mboneko


She was my mate at pamba sec 2008 to 2010 you took HGK so we shared geography in discussion rest in peace madam



aPosted via Blogaway

Sunday, December 4, 2016

Ten deepest lake in the world

Deepest Lakes In The World
NATURE
This is a list of the world’s deepest lakes (you
can also take a look at the world’s largest lakes
by area):
1. Lake Baikal, Siberia, Russia – deepest lake in
the world with a depth of 1,637 meters (5369 ft).
Lake Baikal is also the most voluminous
freshwater lake in the world, containing roughly
20% of the world’s unfrozen surface fresh water
10 Deepest Lakes In The World: Lake Baikal,
Siberia, Russia
2. Lake Tanganyika, central Africa – 1,470
meters deep (4,823 ft). It is estimated to be
also the second largest freshwater lake in the
world by volume. The lake is divided among four
countries – Tanzania, the Democratic Republic
of the Congo, Burundi, and Zambia
10 Deepest Lakes In The World: Lake Tanganyika,
central Africa
3. The Caspian sea – 1,025 meters (3,363 ft). It
is the largest enclosed inland body of water on
Earth by area, variously classed as the world’s
largest lake or a full-fledged sea.it has no
outflows and is bounded by Russia, Azerbaijan,
Iran, Turkmenistan and Kazakhstan
10 Deepest Lakes In The World: The Caspian sea
4. Lake Vostok, Antartica – 900 meters (3000
ft). Lake is the largest of Antarctica’s almost
400 known subglacial lakes. The lake is located
beneath Russia’s Vostok Station under the
surface of the central East Antarctic Ice Sheet
10 Deepest Lakes In The World: Lake Vostok,
Antartica
Continue Below
5. Lake O’Higgins-San Martín, Chile & Argentina
– 836 meters (2,742 ft) deep. Located in
Patagonia, It has a surface area of 1,013 km and
a shoreline length of 525 km. Viewed from
above, the lake consists of a series of finger-
shaped flooded valleys, of which 554 km are in
Chile and 459 km in Argentina,
10 Deepest Lakes In The World: Lake O’Higgins-
San Martín
6. Lake Malawi, ozambique, Tanzania, Malawi –
706 meters (2,316 ft). The third largest and
second deepest lake in Africa
10 Deepest Lakes In The World: Lake Malawi
7. Issyk Kul, Kyrgyzstan – 668 meters (2,192 ft).
Although it is surrounded by snow-capped
peaks, Issyk Kul never freezes, hence its name,
which means “hot lake” in the Kyrgyz language
10 Deepest Lakes In The World: Issyk Kul,
Kyrgyzstan
8. Great Slave Lake, Canada – 614 meters
(2,015 ft) – the deepest lake in North America
10 Deepest Lakes In The World: Great Slave Lake,
Canada
9. Crater Lake, Oregon, United States – 594
meters (1,949 ft). The lake partly fills a nearly
2,148-foot (655 m) deep caldera that was formed
around 7,700 years ago by the collapse of the
volcano Mount Mazama. It is kno
wn as one of
the most beautiful crater lakes in the world
10 Deepest Lakes In The World: Carter Lake,
Oragon, United States
10. Matano, Indonesia – 590 meters (1,936 ft).
Also known as Matana, It is one of the two
major lakes in the Malili Lake system
10 Deepest Lakes In The World: Matano Lake
2



aPosted via Blogaway

Thursday, September 22, 2016

Tuesday, September 20, 2016

Lugane mlilo

Kaka take na babu aliyebakia yupo kyela



aPosted via Blogaway

Ileje 1

Mdogo wangu Jane na babu yangu angindike kasengera hapo wakTi wa msiba wa baba yetu Johnson mlilo tarehe 3 September 2016 sitosahau hii



aPosted via Blogaway

Thursday, August 18, 2016

Wednesday, August 3, 2016

At foundation

Found at nyanguge mwanza duuuuuuuuyu



aPosted via Blogaway

Sunday, July 31, 2016

Bustan

JINSI YA KUTENGENEZA BUSTANI NDOGO YA NYUMBANI
Kuna njia mbali mbali waweza kuepuka kutumia mboga mboga zinazolimwa usikokujua na kuepuka kujiingiza katika afya mbaya kwa matumizi ya kemikali za kuulia wadudu na magonjwa zinazotumika katika ukuzaji wa mboga mboga.

Aina za bustani
1. Unaweza tumia makopo amabayo mara nyingi hutumika kupanda maua kando kando ya nyumba
2. Unaweza tumia gunia la sandarusi kubwa..
3. Unaweza tengeneza key hole garden ( bustani ya tundu la Ufunguo)

Bustani Ya Makopo/Ndoo

Vifaa
Udongo, makopo/ndoo, mchanga/Pumba za mpunga (Rice husk), Mbole ya samadi iliooza vizuri.
Udongo - Kwa ajili ya kuwezesha mmea kusimama, pia kupatia virutubisho mmea

Mchanga/Rice husk - Kusaidia mizizi kupita kwa urahisi, pia kuweka mazingira mazuri ya hewa na maji katika udongo yaani mzunguko wa maji na hewa. 

Mbolea ya samadi - Kutoa virutubisho kwa mmea

Hatua za utengenezaji.
- Changanya udongo wako na mchanga/rice husk pamoja na mbole katika uwiano wa 5:2:1.
   5 udongo, 2 samadi, 1 Mchanga/rice husk
- Toboa makopo yako kwa chini ili kuzuia maji kubaki kwa wingi kwenye kupo na weka pamba kwenye matundu uliotoboa.
- Weka udongo uliochanganywa vizur kwenye makapo/ndoo. Hapo utakuwa tayar kupanda mbegu zako ama mche wa mboga aina yoyote.
- Kuepuka uchafuzi wa mazingira kwa maji yanayo toka kwenye makopo endapo makopo hayo yapo kwene simenti, weka makopo/ndoo hayo juu sahani/besen

Uangalizi.
- Mwagilia mboga yako mara tu baada ya kupanda na kuendelea ikitegemeana ni aina gani ya mboga.
- Unapoona magonjwa hasa fangasi wa ukungu na wadudu wa mboga unaweza tumia dawa zisizo za kemikali za viwandani kama vile  majani ya pilipili kichaa, mwarobaini na tumbaku.
- Mboga kama sukuma wiki waweza vuna mara kwa mara, kazi yako ni kumwagilia tu.
- unatakiwa kubadilisha udongo wako kwa muda mfano. baada ya mavuno 2 ili kuakikisha mboga zako zina pata virutubisho ya kutosha.. ( Hii inategemeana ni aina gani ya mboga)

Faidi
- Inapunguza utumiaji wa kemikali za viwandani
- Gharama za uhitaji wa mboga za majani.

SEHEMU YA PILI YA UTENGENEZAI WA BUSTANI NDOGO ZA NYUMBANI
BUSTANI YA GUNIA
Vifaa
Udongo, Kokoto (mawe madogo madogo), Gunia, mchanga/Pumba za mpunga (Rice husk), Mbole ya samadi iliooza vizuri, mti/mbao na kopo dogo (sadolini).
Udongo - Kwa ajili ya kuwezesha mmea kusimama, pia kupatia virutubisho mmea
Mchanga/Rice husk - Kusaidia mizizi kupita kwa urahisi, pia kuweka mazingira mazuri ya hewa na maji katika udongo yaani mzunguko wa maji na hewa. 
Kokoto  - Kusadia maji kupita ndani ya gunia toka juu hadi chini
Mbolea ya samadi - Kutoa virutubisho kwa mmea
mti/Mbao  - Kusaidia gunia lako kusimama vyema/ imara

Hatua za utengenezaji.
  (i)   Changanya udongo wako na mchanga/rice husk pamoja na mbole katika uwiano wa 5:2:1.
         5 udongo, 2 samadi, 1 Mchanga/rice husk.
(ii)    Toboa kopo lako na ondoa kitako ili kuweka uwazi pande zote mbili (juu na chini)
(iii)  Weka mti/ubao katikati ya gunia ukiuchimbia ardhini kisha weka kopo lako katikati ya mti/mbao hiyo na lijaze kokoto 

(iv)  Weka udongo uliochanganywa vizur kwenye gunia lako ukilizunguka kopo lenye kokoto hadi kufikia kimo cha kopo. Baada ya hapo ondoa kopo na hakikisha kokoto zinabaki zikizungukwa na udongo.
(v)  Weka kopo juu ya kokoto zilizozungukwa na udongo kisha, lijaze kopo hilo na kokoto, rudia kujaza udongo ukilizunguka kopo hadi kimo cha kopo hilo. Endelea kufanya hivyo (kama hapo juu) hadi pale gunia lako litakapokuwa limejaa.
(vi) Toboa gunia kwa kuweka matundu kuzunguka gunia kwa ajili ya kupandia katika umbali sawa (inategemea na aina ya mboga)

(vii) Hapo utakuwa tayari kupanda mbegu zako ama mche wa mboga aina yoyote juu na pembeni ya gunia lako


Mboga aina ya letuce (Lactuca sativa)

Mboga aina ya sukumawiki (Brassica carinata) zikiwa zimepandwa kwenye gunia

Uangalizi.
- Mwagilia mboga yako mara baada tu ya kupanda na kuendelea ikitegemeana ni aina gani ya mboga.
- Unapoona magonjwa hasa fangasi wa ukungu na wadudu wa mboga unaweza tumia dawa zisizo za kikemikali za viwandani kama vile  majani ya pilipili kichaa, mwarobaini na tumbaku.
- Mboga kama sukuma wiki waweza vuna mara kwa mara, kazi yako ni kumwagilia tu.
- unatakiwa kubadilisha udongo wako kwa muda mfano. baada ya mavuno 2 ili kuakikisha mboga zako zina pata virutubisho ya kutosha.. ( Hii inategemeana ni aina gani ya mboga)
Muhimu: Ukitumia miche kwa siku tatu/mbili za mwanzo usije ogopa kuona miche yako imelala endelea kuimwagilia itasimama tu. Pia katika umwagiliaji hakikisha unamwaga maji katika kati ya guni pale kulipo na kokoto ili kuhakikisha maji yanasamba ndani ya gunia hadi chini.
Faidi
- Inapunguza utumiaji wa kemikali za viwandani
- Gharama za uhitaji wa mboga za majani.
- inatumia nafasi ndogo na kutoa kiasi kikubwa cha  mboga mboga.



aPosted via Blogaway

Bustani popote

*BUSTANI YA MFUKO/GUNIA*

               *Mahitaji*

1. Chukua mfuko, gunia au salfate,

2. Andaa udongo, mchanga na mbolea kwa ratio ya 1:1:1

3. Andaa kokoto.

4. Kopo kisadolin hawa kikiwa kile chenye mfumo wa pipa ili kiwe na kipenyo sawa pande zote then litoboe hilo kopo liwe waz pande zote

*Utengeneza*

*i* Changanya mchanganyiko wa udongo, mbolea na mchanga

*ii* chukua mfuko wako ufunue uwe wazi ikibid uukunje ili kimo kipungue kidogo

*iii* weka kopo lako ktkt ya mfuko lijaze kokoto hilo kipo

*iv* weka udongo wako uliouandaa kwenye mfuko had kufikia kimo cha kopo lako.

*v* livute juu hilo kopo ili kokoto zibak livute had lifikie usawa wa juu zilipoishia kokoto zako za kwanza

*rudia kuweka kokoto, na udongo kama (iii) na (iv) alafu then namba (v) had ufikie juu usawa wa mfuko wako.*

VI. Toboa mfuko kwa umbal wa cm15 kati ya shimo na na shimo kama unapanda chines, sukumawik na mimea inayofanana na hiyo.

*bustan ya mfuko inafaa kupanda mboga mboga na ni rahisi kuhudumia*

*Note* unapoweka udongo hakikisha unashindilie ili utakapomwagia maji mfuko usijikunje

*unapomwagilia maji mimina kwenye kokoto na udongo wote utapata maji*



aPosted via Blogaway

Hii dawa hatari

KINYWAJI KITACHOFANYA UONE TUMBO LIKIPOTEA NDANI YA WIKI MOJA
Chukua jagi kubwa na weka vifuatavyo:
1. Maji na slice za:
2. Matango yaliyokatwakatwa
3. Malimao au Ndimu
4. Mdalasini
5. Tangawizi au Manjano ukiweza kupata
6. Majani ya mint (ukipata)

Weka mchanganyiko kwenye friji na tumia kama maji ya kawaida. Ukipenda maji yakiisha weka maji mapya, ila ni vizuri zaidi ukila hayo matunda na kuweka mengine fresh. Ukiachana na kuondoa mafuta ya tumbo, mchanganyiko huu ni mzuri kwa kuondoa sumu mwilini. Kama ladha unaiona kali sana, ruksa kuongeza kijiko cha asali. Share na wengine wajifunze!



aPosted via Blogaway

Dawa za kuku

Madawa ya Asilihbxx  c yatokanayo na Mimea yanayosaidia katika Tiba na Kinga za Maradhi mbalimbali ya Kuku💫

A.  Sehemu za mimea zinaweza kuwa: Majani, Magome, Mbegu, Maua au Matunda

B.  Umuhimu wa kutumia tiba zenye asili ya mimea:

•  Hupatikana kwa urahisi.
•  Ni rahisi kutumia.
•  Gharama nafuu.
•  Zinatibu vizuri.
•  Hazina madhara.

C.  Baadhi ya Mimea inayotibu Maradhi ya Kuku:

1.  Mwarobaini (Majani, Mizizi, Magome):
Hutibu magonjwa yafuatayo:
•  Typhoid.
•  Kuzuia Kideri.
•  Kuhara.
•  Mafua.
•  Vidonda.

2.  Shubiri Mwitu (Aloe vera):
Chukua majani 3-5 makubwa, katakata na loweka ndani ya maji lita 10 kwa masaa 12 hadi 16. Wape kuku kwa siku 5 - 7.
Isiyotumika mwaga na tengeneza nyingine baada ya masaa 12.

Mchanganyiko huu unaweza kutibu:
•  Kideri/Mdondo (Mdonde/Chikwemba/Kitoga/Chinoya/Sotoka)
- inyweshwe kabla kwa kinga.
•  Homa ya matumbo (Typhoid).
•  Mafua (Coryza).
•  Kipindupindu cha kuku (Fowl Cholera).

3. Mtakalang’onyo (Euphorbia):

Chukua Majani makubwa 3-5, ponda, weka katika lita 10 za maji kwa masaa 12-16, chuja na wape kuku. Isiyotumika mwaga na tengeneza nyingine.

Mtakalang’onyo hutibu:
•  Kideri/Mdondo (Mdonde/Chikwemba) - inyweshwe kabla kuzuia
•  Gumboro.
•  Ndui.
•  Kuhara damu (Coccidiosis).

4.  Mbarika (Nyonyo):
Hutibu Uvimbe.

Weka majani ya mbarika ndani ya majani ya mgomba kisha weka ndani ya jivu la moto, kisha kanda sehemu yenye uvimbe kwa kutumia majani hayo ya mbarika.

5.  Mlonge (Mlonje):
Ina vitamini A na C.

Chukua majani ujazo wa mikono miwili (gao mbili). Kisha yapondeponde na kuyaweka katika lita 10 za maji na iache kwa masaa 12-16, chuja na wape kuku. Isiyotumika mwaga na tengeneza nyingine.

Mlonge hutibu:
•  Mafua.
•  Kideri - inyweshwe kabla kwa kukinga
•  Kipindupindu cha kuku (Fowl Cholera).
•  Homa ya matumbo
•  Ini.

6.  Konfrei:
•  Ina madini na vitamini nyingi.
•  Hutibu vidonda na majipu.

7.  Ndulele (Dungurusi, Makonde, Tura/Ndula):
•  Majani hutibu Minyoo.
•  Matunda hutibu Vidonda.

8.  Papai (Majani):
Chemsha magao mawili ndani ya maji lita 6 hadi ubakie na lita 1. Poza kisha chuja.
Hutibu: Minyoo

9.  Mwembe:
Majani magao mawili, ponda na chemsha ndani ya lita 6 za maji hadi ibaki lita 1. Wape kwa siku moja.

Mwembe hutibu:
•  Homa ya matumbo.
•  Mafua.
•  Kinga ya Kideri/Mdondo.

10. Mpira:
Chemsha majani au mizizi.

Mpira hutibu:
•  Tumbo
•  Vidonda na majipu

11.  Minyaa (Cactus):
Hii ni aina yenye majani manene-hadi kufikia nusu nchi na mapana hadi kufikia upana wa viganja viwili vya mikono.

Minyaa hutibu: (Angalia inaunguza au kubabua).
•  Vidonda.
•  Ngozi.
•  Uzazi.

12. Pilipili Kichaa:
Pondaponda kiasi kisha changanya na maji na wawekee kuku wawe wanakunywa kwa muda wao. Inasemekana inasaidia kutibu Mdonde (lakini mapema kabla maradhi kuingia).



aPosted via Blogaway

Monday, July 25, 2016

Cheka kidogo

*SOMA HII NA CHEKA KWA KUONGEZA AFYA.*
*Mwelevu na Mjinga walienda ktk usaili, walipofika kabla hawajaingia wakakubaliana aanze Mwerevu kisha akitoka ampe majibu Mjinga ili wote wapate kazi.*

*Basi Mwerevu akaingia na maswali yakawa hivi:-*
*Msaili:- Tanzania ilipata Uhuru mwaka gani?*

*Mwerevu:- ilitakiwa iwe mwaka 1960 ila ikasogezwa mpaka 1961 kutokana na sababu mbalimbali..*

*Msaili:- Nani hasa alihusika na upatikanaji wa Uhuru huo?*

*Mwerevu:- Kuna watu wengi walihusika ila Mwl. J.K. Nyerere ndiye alikuja kumalizia.*

*Msaili:- Inasemekana katika sayari ya Mars kuna viumbe wanaishi, je ni Kweli?*

*Mwerevu:- Watu wengi wanasema hivyo lakini haijathibitishwa na wanasayansi.*

*Baada ya Mwerevu kutoka basi Mjinga akapewa majibu yote..*

*Kuingia ktk usaili maswali yakawa hivi:-*

*Msaili:- Tuambie ulizaliwa mwaka gani?*

*Mjinga:- Ilitakiwa iwe mwaka 1960 ila ikasogezwa mbele mpaka mwaka 1961 kutokana na sababu mbali mbali.*

*Msaili:- Mungu Wangu, BABA yako anaitwa nani?*

*Mjinga:- Kuna watu wengi walihusika ila Mwl. J. K. Nyerere ndiye alikuja kumalizia .*

*Msaili:- Hivi wewe ni chizi?*

*Mjinga:- watu wengi husema hivyo lakini haijathibitishwa na wanasayansi*😂😂😂



aPosted via Blogaway

Thursday, July 21, 2016

Jamii moja nchini Malawi Jamaa analipwa ili kuwatoa mabinti wa kike usichana

MIX Jamii moja nchini Malawi Jamaa analipwa ili kuwatoa mabinti wa kike usichana By Newsroom TZA
onJuly 21, 2016 9SHARES COMMENTS

Habari hii imeripotiwa na BBC Swahili kuhusu jamii moja nchini Malawi ambayo haithamini ubikira wa watoto wao wa kike. BBC Swahili wameripoti kuwa katika jamii hiyo wazazi wanamlipa mwanaume kumbikiri binti yao punde tu anapopata hedhi yake ya kwanza.

Jamii hiyo inaamini kwamba kuwa na binti ambaye ni bikira ni mkosi kwa jamii, wazazi na jamii kwa ujumla katika maeneo mengi ya kusini mwa Malawi wamekuwa wakishikilia tamaduni hii kwa miaka na miaka.



Wanaume wanaowabikiri watoto wa kike huchaguliwa na wazazi kuwaondolea mikosi, na huwa ni sherehe kubwa inayomtangulia binti kupelekwa unyagoni kisha kuwatembelea shangazi wake kabla ya kujulishwa kwa ‘fisi’.

Mafisi hulipwa takriban dola 7 ambayo ni kama Tsh 15,324 kwa kila kitendo cha ngono na hao mabinti ambao wengi huwa na kati ya umri wa miaka 11-14. Fisi mmoja katika kijiji cha Nsanje, Eric Aniva ameiambia BBC kuwa hajui kwa kweli amewabikiri wasichana wangapi……

>>>”kwa kweli mimi nimewabikiri zaidi ya wasichana 104, hiyo ndio tamaduni zetu pia hapa mwanamke akifiwa lazima aje kwangu nimuondolee mkosi hata kabla ya kuzikwa kwa mumewe’‘.



Aniva ambaye ana umri wa takriban miaka 40 ana wanawake wawili na watoto 5, anasema kuwa pale anaposhiriki ngono na watoto hao huwa anapewa muda wa siku 3 hivi kumsafisha na kumuondolea mkosi.Kulingana na tamaduni zao, ikiwa mwanamke au binti anakataa asibikiriwe huwa wanaamini kuwa jamaa zao watafuatwa na mikosi na magonjwa.



aPosted via Blogaway

Friday, July 15, 2016

Ufugaji kuku

LEO TUANGALIE MCHANGANUO WA TSHS 300,000/= (LAKI TATU) KWA KUANZISHA MTADI WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI.
Hapa tuta hitaji kuku 11 tu wakubwa wanao taga yani majike 10 na Jogoo 1 tu. Kwa kutumia kuku hao 11 baada ya miezi mitatu unaweza ukawa na kuku mia Tatu 300 au na zaidi kama unataka.
Nunua kuku wako katika chanzo cha kuaminika kuepuka magonjwa usinunue kuku sehemu za masokoni au kwenye mabanda ya njiani au kuku wanao safirishwa kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine.
Unapo nunua kuku wakubwa kwanza unapo wafikisha wape chanjo ya mdondo (Newcastle vaccine) ili kuweka rekodi yako ya chanjo maana chanjo hii hurudiwa kila baada ya miezi 3. Ukumbuke tarehe uliyo wachanja na tarehe utakayo wachanja tena baadae.
Usinunue kuku kabla hujaandaa banda na Chakula.
Katika sh. 300000 toa sh.69500 ambayo utanunua Chakula cha kuku, kuku hawa hawana formula ya Chakula hivyo unaweza kununua material ukachanganya Chakula mwenyewe ampapo utaokoa pesa nyingi pia.
Mchanganuo Wa 69500 ni:-
Pumba gunia 1. Shs.20000 gunia la pumba lina kilo 70.
- paraza kilo 25 = 700x25 =17500. Paraza ni mahindi yaliyo vunjwa vunjwa kwaajili ya Chakula cha kuku.
-mashudu ya alizeti kilo 15. 700x15=10500
- layer's consetraite
Kilo 25 kifuko. = 21500.
Ukijumlisha utakuwa umepata kilo 135 kwa shs 69500. Ambapo kila kilo moja ya Chakula utakuwa umenunua kwa shiling 514.8.
Chakula hicho kichanganye kwa kutumia chepe kichanganye vizuri kichanganyike pumba lazima iwe kavu kabisa ikaushe usiwape kuku pumba mbichi.
Kumbuka kuku anayetaga anakula Gram 130 kwa siku
Hivyo kuku 10 watakula kilo 1.3 kwa siku ambayo ni gram 1300.
Hivyo tutaweza kuona Chakula chetu kitatupeleka zaidi ya siku 100 ya zaidi ya miezi mitatu.
TOA SHS 170000 AMBAYO UTANUNULIA KUKU.
Mchanganuo wake
Kwa kila kuku mzuri ambaye ajazeeka anayetaga utampata kwa shilingi 15000 na Jogoo nzuri utampata kwa shilingi 20000.
Jogoo 1 = 20000
Majike 10 x15000= 150000 jumla 170000.
Itakuwa imebaki shs. 60500
-Hii pesa iliyobaki ni kwa ajili ya kununu material ya bei nafuu na kutengeneza banda la kuku 10 hadi 20. Kuku hawa hawaitaji banda Kubwa kwasababu hawashindi ndani wataingia ndani wakati Wa kulala jiaoni na mchana wakati wakutaga
Kuku wachiwe eneo la kutosha na lenye mchanga watakao itumia kuoga kuondoa wadudu km papasi na utitiri sehemu wanayopenda kuoga nyunyizia Dawa ya utitiri.
Banda tengeneza la kuhamisha la futi 4x8x4 yani urefu kwenda juu futi 4 upana futi 8 kipenyo futi 4. Tumia materio yaliyo karibu nawe kama mirunda, mabanzi, Mabati reject au yaliyochakaa chicken wire au wire mesh, fito mbao 2x2 au 4x2 n.k. Kama ni sehemu za mjini litakugharimu kama Tsh 50,000-60,000.Vijijini au nje ya mji ambapo miti ni mingi litakugharimu Tsh 25,000 hadi 35,000.
Haya jinsi ya kuwaendeleza hao kuku ili kupata kuku wengi hadi utakao wataka. Hapa itabidi ukubali kupeleka Mayai sehemu ambapo wanatotolesha ambapo trey 1 ni shilingi 10000.
Hapa kuku hawa 10 watakupa wastani Wa Mayai 8 kwa siku ambapo kwa mwezi ni Mayai 240. Kila baada ya siku 7 peleka Mayai kwenye Mashine yakutotolea (incubator). Hivyo kwa mwezi utapeleka Mayai 240 utapata wastani Wa Vifaranga 200. Hivyo baada ya mwezi nakushauri usitotoleshe tena hao Vifaranga 200 ni wengi sana kwa kuanzia kwa kuwa tayari tunenunua Chakula cha kuku cha kutupeleka miezi mitatu basi Mayai utakayo endelea kuokota utayauza kwaajili ya kupata hela ya Chakula cha Vifaranga watakao toka hao zaidi ya 200. Hivyo mradi huu utakuwa unajiendesha wenyewe. Nikiwa na maana kama kuku 10 watakupa wastani Wa Mayai 8 kwa siku na Mayai 240 kwa mwezi ni wazi kwamba kuku hao wanakuingizia 120000 kwa mwezi ambaya sasa hela Hii itatumika kununua Chakula cha kulea hao Vifaranga ambapo Mayai ya mwezi tu yataweza kununua Chakula ambacho Vifaranga 200 watakula mwezi pamoja na chanjo na Dawa zote.
Hivyo baada ya miezi mitatu utakuwa na Vifaranga wakubwa Wa miezi miwili na Chakula cha kuku wakubwa ndo kitakuwa kinaishia hapa utachanganya Chakula cha aina moja tu wale Vifaranga watakuwa wameshakuwa kiasi cha kula Chakula chochote.



aPosted via Blogaway

Thursday, July 7, 2016

Wednesday, July 6, 2016

Bibi yangu kizaa babu

Skanege  bibi kizaa babu  angindikike  mzaa baba john



aPosted via Blogaway

Sunday, July 3, 2016

Maharagwe ya nazi



MAHARAGE YA NAZI

Maharage kikombe kidogo 1 ya kawaida au yanaozwa kwenye kikopo
Nyanya ya kopo nusu au robo kikombe (Tomato sause/purée)
Chumvi kiasi
Thomu kijiko cha chai 1
Tangawizi  kijiko cha chai 1
Nazi ya kopo kibati kimoja au unaweza ukakuna nazi ukawa na tui zito
Pilipili boga kiasi
Kitunguu maji kiasi
Mafuta ya kupikia kiasi

**Chemsha maharage yako yakishaiva yamwage maji au Kama maharage ya kopo mwaga maji na uweke pembeni**
**Weka mafuta ya kupikia kwenye sufuria lako na ukaange kitunguu maji, pilipili boga, tangawizi na thomu***
**Vikishaiva weka nyanya yako ya kopo ikaange kidogo Kisha weka maharage**
**Yaache maharage Kama dakika mbili, Kisha weka nazi yako na usisahau kuweka Chumvi**
**Epua maharage yako nazi ikiiva, usiache yakauke sana**



aPosted via Blogaway

Sunday, June 26, 2016

Thursday, April 14, 2016

Cheka kidogo

Jamaa Mmoja Alikuwa Safarini Gari
Likamharibikia Kijijini Akaomba Hifadhi
Akakaribishwa Baada Ya Kuoga Na Kula.
Mzee: Sasa Sijui Huyu Mgeni Atalala Wapi?
Mke: Sa Hizi Ni Usiku Akalale Na Bebi.
Jamaa Akaona Huyu Bebi Pengine Ni Mtoto
Anakojoa Kitandani Au Akalia Asije
Akamsumbua Usiku.
Jamaa: Msipate Tabu Mi Nitalala Hapa Kwenye
Kochi.
Akalala, Asubuhi Wakawa Wanakunywa Chai
Akaibuka Mrembo, Jamaa Akapigwa Mshangao
Nusu Ajimwagie Chai.
Binti: Naitwa Bebi We Unaitwa Nani?
Jamaa Akasema " Mi Naitwa Fala😂😆😆😆😆😆😆😆😆😆



aPosted via Blogaway

Tuesday, April 12, 2016

JKT

TANGAZO

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, anawatangazia vijana wenye sifa za kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa kujitolea kwa mwaka 2016.

Barua zilizoainisha sifa za kijana kujiunga na mafunzo ya JKT zimetumwa kwa Waheshimiwa Wakuu wa mikoa. Mchakato wa zoezi la kuwapata vijana wenye sifa unaanza Aprili 2016 hadi tarehe 20 Mei 2016.

Sifa za mwombaji ni kama zifuatazo:-

1. Awe raia halisi wa Tanzania.

2. Umri. Kwa vijana wenye elimu ya Darasa la saba hadi kidato cha sita ni miaka 18 hadi 23.Vijana wenye elimu ya Stashahada umri ni miaka 18 hadi 26 na Vijana wenye elimu ya Shahada na kuendelea umri ni miaka 18 hadi 30.

3. Awe na afya njema, akili timamu.

4. Asiwe na alama yeyote ya michoro mwilini (Tattoo).

5. Mwenye tabia nzuri, hajapatikana na hatia Mahakamani na hajawahi kufungwa.

6. Kwa vijana waliomaliza elimu ya Sekondari kidato cha nne wawe waliomaliza kuanzia mwaka 2010, 2011, 2012, 2013 na 2014 wenye ufaulu ufuatao:-

      (a) Waliomaliza 2010 hadi 2012 wawe wamefaulu na wawe na alama (Points) zisizopungua 32.

      (b) Waliomaliza 2013 wawe wamefaulu na wawe na alama (Points) zisizopungua 38.

      (c) Waliomaliza 2014 wawe wamefaulu na wawe na GPA isiyopungua 0.6.

7. Awe na elimu ya msingi aliyehitimu darasa la saba.

8. Awe na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate).

9. Awe na cheti halisi cha kumaliza shule (School Leaving Certificate)

10. Awe na cheti halisi cha matokeo (Original Academic Certificate/Transcript).

11. Asiwe ametumikia Jeshi la Polisi, Magereza, Chuo cha Mafunzo au KMKM wala kuajiriwa na Idara nyingine Serikalini.

12. Asiwe amepitia JKT Operesheni za nyuma.

13. Asiwe amejihusisha na matumizi ya madawa ya kulevya, bangi na yanayofanana na hayo..

Waombaji wenye sifa wapeleke maombi yao kwa Waheshimiwa wakuu wa mikoa.

Makao Makuu ya JKT hayatapokea na hayapokei maombi yoyote, kwa vijana watakaoomba nafasi hizo wazingatie maelekezo yatakayotolewa kuepuka usumbufu.

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Habari na Uhusiano

Makao Makuu ya JKT

Tarehe 05 Aprili 2016

Source
http://www.jkt.go.tz/component/k2/item/631-taarifa-kwa-umma.html



aPosted via Blogaway

Friday, April 8, 2016

Je unaukumbuka wimbo huu

1. Karudi baba mmoja,
toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja,
na kutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja,
ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli iwafae maishani.

2. Akatamka mgonjwa,
ninaumwa kwelikweli,
Hata kama nikichanjwa,
haitoki homa kali,
Roho naona yachinjwa,
kifo kimenikabili,
Semeni niseme nini,
kiwafae maishani.

3. Yakawatoka kinywani,
maneno yenye akili,
Baba yetu wa thamani,
sisi tunataka mali,
Urithi tunatamani,
mali yetu ya halali,
Sema iko wapi mali,
itufae maishani

4. Baba aliye kufani,
akajibu lile swali,
Ninakufa maskini,
baba yenu sina hali,
Neno moja lishikeni,
kama mnataka mali,
Kama mnataka mali,
mtayapata shambani.

5. Wakazidi kumchimba,
baba mwenye homa kali,
Baba yetu watufumba,
hatujui fumbo hili,
akili zetu nyembamba,
hazijajua methali,
Kama tunataka mali,
tutapataje shambani?

6. Kwanza shirikianeni,
nawapa hiyo kauli,
Fanyeni kazi shambani,
mwisho mtapata mali,
haya sasa buriani,
kifo kimeniwasili,
Kama mnataka mali,
mtayapata shambani.

7. Alipokwisha kutaja,
fumbo hili la akili,
Mauti nayo yakaja,
roho ikaacha mwili,
Na watoto kwa umoja,
wakakumbuka kauli,
Kama mnataka mali,
mtayapata shambani.

8. Fumbo wakatafakari,
watoto wale wawili,
wakakata na shauri,
baada ya siku mbili,
wote wakawa tayari,
pori nene kukabili,
Kama mnataka mali,
mtayapata shambani.

9. Wakazipanda shambani,
mbegu nyingi mbalimbali,
tangu zile za mibuni,
hadi zitupazo wali,
na mvua ikaja chini,
wakaona na dalili,
Kama mnataka mali,
mtayapata shambani.

10. Shamba wakapalilia,
bila kupata ajali,
Mavuno yakawajia,
wakafaidi ugali,
Wote wakashangilia,
wakakumbuka kauli,
Kama mnataka mali,
mtayapata shambani.

11. Wakanunua na ng'ombe,
majike kwa mafahali,
wakapata na vikombe,
mashine na baiskeli,
Hawakuitaka pombe,
sababu pombe si mali,
Kama mnataka mali,
mtayapata shambani.

12. Wakaongeza mazao,
na nyumba za matofali,
Pale penye shamba lao,
wakaihubiri mali,
Wakakiweka kibao,
wakaandika kauli...

"KAMA MNATAKA MALI
MTAIPATA SHAMBANI".
🚶🚶🚶🚶🚶🚶

Miaka hiyo tuliimba tu kama kujifurahisha wala hatukujua maana yake, leo twatambua nini maana yake, nasisitiza, kama mnataka mali mtaipata shambani



aPosted via Blogaway

Wednesday, March 30, 2016

Duuu

KUNYONYA MAZIWA.mara nyingi maziwa ni sehemu ambayo huwa na hisia sana kwa mwanamke endapo itanyonywa vizuri,wengi hawajui namna ya kunyonya maziwa ya mwanamke na kama utainyonya vizuri itatosha kumrdhisha mwanamke bila ya kumtomba.zifuaazo ni dondoo muhimu wakat unamnyonya mwanamke maziwa 1.anza kwa kuliramba titi lotee uku unalipaka mate taratibuu,kama una ulimi mrefu kama mimi bas ni fursa nzitoo na nzuri kuugusisha ulimi wako katika kila kona ya ziwa,hapo utamuona mwananmke anaanza kujinyonga nyonga kwa rahaaa 2.lishike ziwa kwa mkono wako na hapo anza kunyonya sehemu ya juuu ya maungio ya mwili na ziwa,hiyo ni sehemu ambayo iko na nyege sana na hapo pekee panatosha kumkojza mwanamke ikiwa utatumia ulimi wako vizuri 3.lishike ziwa tena na linyonye ktk sehem ya chini ambayo ni kama uvungu wa ziwa,hapo ni sehem ambayo nerves zimepita kwa hio ukiwa unamnyonya utaona mwanamke anatoa ute ktk kuma ishara ya kuwa yuko tayari kupokea mboo. 4.CHUCHU,hii ndiyo sehemu kuu ya ziwa.kwanza hapa ina inyonyaji wa aina tatu moja,kwanza irambe kwa utaratibi huku kama vile unaimung'unya kama pipi hapo pekee itatosha kumtoa mwanamke mkojo mbili,ifanye kama unataka kuing'ata chuchu ya ziwa la mwanamke huku unabinya binya ziwa la upande mwengine kwa ustadi mkubwa tatu,ile chuchu ifanye km vile unairamba kama koni huku unamsugua ttartibuuu katika ziwz jengine jambo kubwa jengine ni nanmna ya kuichezea chuchu kwa mkono,hapo utafanya ifuatavyo.pakaza mate vidole vya mkono wako halafu isugue chuchu kwa madahaa hapo huyo mwanamke ni llazima atafurahia mapenz yako MHHHH MAELEZO ZAIDI NJOO INBOX
Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI



Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!



Je wewe una mtaji wa Ths.455,000/= au 910,000?..njoo ujiunge biashara ya Forever Living ya Marekani ufanikiwe kupata faida hadi 3,000,000 kwa mwezi...piga 0713 700037 au 0784 778788
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.

UMEZISOMA HIZI HAPA CHINI .???


JUA HUU UFUNDI KATIKA KUNYONYANA ND...

WAKUBWA TU...TOFAUTI ZA UTAMU WA TE...

MAHABA,,WAKUBWA TU UKIMFANYIA HIVI ...

ONA HIZI PICHA NA STORY KAMILI KUHU...

MWANAUME, WAOGOPE WANAWAKE WA NAMNA...

HAYA NDIO MANENO MATAMU YA KIMAHABA...

KIZAZI CHA WANAUME WAHONGAJI CHAPOT...

Mwanamke Mzuri wa Sura, Umbo Zuri a...

NIMEKARIBIA KUFUNGA NDOA NA NILIMDA...

Jinsi Ya Kumfanya Mwanamke Akupeze ...

Jinsi Ya Kuapproach Mwanamke Ambaye...

STYLE ZA KUPEANA RAHA.......IPI NI ...
Filed Under: MAHABA NA UTAMU
CodeNirvana

POPULAR POSTS

JINSI YA KUZUIA KUMWAGA MAPEMA KWA WANAUME
Mapema kumwaga kumwaga mapema ni tatizo afya ya uzazi wa kiume ambao huathiri hadi milioni 50 kwa watu wa Marekani. kumwaga mapema hu...

KUKOJOA KWA MWANAMKE NDO KUKO HIVI ....SOMA HAPA NIKUJUZE
"Mimi ni mwanamke wa miaka 30 tatizo kubwa linalonitatiza ni kuwa wakati wa kufanya mapenzi na mr. Nitajuaje kama nami pia nimekojoa??n...

KAMA WEWE NI RIJALI KWELI HEBU INGIA HAPA, USIPOVIMBISHA SURUALI JIPANGEE!!
Kweli kuna watu wameumbwa, huyu ni mwanadada Keyshia. Alisababisha mpiga picha aliyekuwa anampiga picha azimie kutokana na presha aliyoipata...

KUMBE HIZI NDIZO SABABU WANAWAKE WANAPENDA KULIWA NYUMA BADALA YA...., WANADAI KUNA RAHA ZAIDI..WASIKIE HAPA
Tunapoamua kufanya jambo sio kwamba tunafuata mkumbo au kulazimishwa bali ni our choice Kufanya ng0no kusiko a.k.a 0713 “MWIKO” katika jami...
JINSI YA KUMKUNJA MWANAMKE ASIKUSAHAU KWENYE TENDO LA NDOA
Hii ni kwa wanaume ambao wanapenda kuwafurahisha wapenzi wao wawapo faragha. Ukifanya hivi nakwambia mwanamke hatakuacha hata umfukuze hata...

ANGALIA USIACHWE!! MBINU ZA KUAMSHA NGUVU ZA KIUME, PALE 'DUDU' INAPOGOMA KUSIMAMA
Suala la nguvu za kiume kwa sasa limeshakuwa ishu kubwa kwa vijana wengi wa sasa,kwa utafiti uliofanywa mwaka 2013 na shirika la Afya dunian...

HII NDIYO STAILI TAMU INAYOWAKOJOLESHA MAELFU YA WANAWAKE BILA KUJIZUIA.
Jinsi Ya Kujipanga: Mwanamke alale chali(uso,matiti na kila kitu viangalie juu),kisha Mwanaume apige magoti mbele yake,baada ya hapo,mwanam...

NAMNA YA KUTONGOZA MSICHANA YOYOTE..!!
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu. Kuna sanaa zingine za u...

UKIONA HIZI PICHA ZA HUYU MWANAFUNZI ALIVYOANIKA UCHI WAKE, UTAZIMIA!!!
Hii sio mara ya kwanza kwa wanafunzi wakike kujipiga picha za utupu na kuzitupia kwenye mitandao ya kijamii kama FESIBUKU, WASAPU na mingine...

JIFUNZE ...................NAMNA YA KUNYONYA MAZIWA MPAKA DEMU AKOJOE
KUNYONYA MAZIWA.mara nyingi maziwa ni sehemu ambayo huwa na hisia sana kwa mwanamke endapo itanyonywa vizuri,wengi hawajui namna ya kunyonya...
WASOMAJI WETU WOTE HADI LEO
1470281
LABELS
KIMATAIFA KITAIFA MAGAZETI MAHABA NA UTAMU MASTAA NA VITUKO MATUKIO UCHUMI
MY BLOG LIST



aPosted via Blogaway

Sunday, March 27, 2016

Easter

Easter is Resurrection Sunday , is a festival and
holiday celebrating the resurrection of Jesus
Christ from the dead, described in the New
Testament as having occurred on the third
day of his burial after his crucifixion by
Romans at Calvary , It is the
culmination of the Passion of Christ , preceded
by Lent (or Great Lent), a forty-day period of
fasting , prayer, and penance .
The week before Easter is called Holy Week ,
and it contains the days of the Easter
Triduum , including Maundy Thursday,
commemorating the Maundy and Last Supper ,
as well as Good Friday, commemorating
the crucifixion and death of Jesus .  In
western Christianity, Eastertide , the Easter
Season, begins on Easter Sunday and lasts
seven weeks, ending with the coming of the
fiftieth day, Pentecost Sunday . In Orthodoxy,
the season of Pascha begins on Pascha and
ends with the coming of the fortieth day, OK have a nice cerebration of ester in love and peace.



aPosted via Blogaway

Sunday, February 14, 2016

Sunday bet win

Lyon -
Caen
1.41 Lyon Win Feb 14,
2016 -
4:00 pm
Sevilla -
Las
Palmas
1.28 Sevilla Win Feb 14,
2016 -
6:00 pm
Barcelona
- Celta
Vigo
1.04 Barcelona
Win Feb 14,
2016 -
10:30 pm
Groningen
- Ajax
1.70 Groningen
Lose
Feb 14,
2016 -