AHAZI

AHAZI

Saturday, July 20, 2013

ukichaa noma

Dactari anamhudumia mtu mwenye upungufu wa akili. Daktari: kwahiyo unaniambia huwa unasumbuliwa na nn usiku? Punguani: huwa nikilala naota nyani wanacheza mpira wa miguu. Daktari: basi leo itabidi nikupatie dawa ili usiwe unaota. Punguani: akaah usinipe leo, unipe kesho kwa leo wanacheza fainali.

No comments:

Post a Comment