AHAZI

AHAZI

Saturday, April 13, 2013

hoi

Bwege katoroka kazini wkt boss hayupo ofcn, akaenda home kwake akamkuta boss wake kalala na mke wake, akarudi fasta kazin akamwambia mwenzake, 'duh nimemkuta boss hom kalala na mke wangu ila nashkru hajaniona nimenyata nikarudi maana angejua km nilitoroka kazn ingekuwa msala!

No comments:

Post a Comment