AHAZI
Sunday, March 17, 2013
mwananchi leo march 18 2013
Chaguo Letu Leo
HABARI KUU
Polisi wapekua ofisi za Chadema, Lwakatare kufikishwa mahakamani leo
Posted 5 hours ago
Wakati Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare anatarajiwa kufikishwa mahakamani leo, jana mchana ofisi za makao makuu ya chama hicho zilipekuliwa na polisi na kuondoka na nyaraka mbalimbali....
KITAIFA
Mtawa apigwa risasi, aporwa Sh20 mil
Posted 5 hours ago
Arusha. Watu wanaoaminika kuwa ni majambazi, wamemjeruhi kwa kumpiga risasi Mtawa wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Arusha,...
KITAIFA
Manumba: Nilizinduka baada ya siku 42, sasa naendelea vizuri
Posted 4 hours ago
MwananchiJohannesburg. Mkurugen-zi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Manumba amezung-umzia ugonjwa wake ambao ulisababisha...
KITAIFA
Utendaji wa Papa waendelea kuduwaza wengi
Posted 5 hours ago
Vatican City. Papa Francis ameadhimisha misa yake ya kwanza tangu alipochaguliwa kuwa kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki...
Subscribe to:
Posts (Atom)